Kuna Chimbo zipo pembezoni mwa Morogoro road kabisa yaani stendi yeyote utakayoshuka unatembea tu 15k, 20k mpaka 25k na zipo supa sana. Mimi sipatagi tabu nkiwa natoka Ofisini Sungura akijichanganya nashuka stendi yeyote natembea nimefika. Kazi Kazi!!