Chimbo/Migodi ya kula Mabibo Hostel

Chimbo/Migodi ya kula Mabibo Hostel

Joined
Jul 12, 2017
Posts
10
Reaction score
12
Wakuu mimi ni 1st year UDSM/COET.
Kama title inavyojieleza naomba nifahamishwe sehemu za kwenda kupata msosi pale mabibo hostel,siwezi kaa campus hata nikipangiwa napenda kaa mazingira mbali na chuo hivyo ni mabibo hostel.
Naomba nifahamishwe machimbo ambayo naweza pata chakula quantity 1st then quality inafuata au kama kuna sehemu naweza weka hata bill ya ukoko mnijuze tafadhari
Sema hata kama kuna sehemu kuna msosi mkali nijuzeni maana siku moja moja kula vizuri si vibaya.
Nawasilisha
 
Ukiishiwa boom, jiandae kwenda kula tosti kwa mpemba... Za buku tu unashinda nazo asubuhi mpaka jioni na maji yako ya kudownload huku unakula msuli wako.
 
Mkuu hapo kwenye ukoko ndo maeneo yangu bei ni 500/- kwa mama kifusi, kwa aunt, kwa kina zinduna na machimbo mengine mengi kama vipi nibebe tuanze kuweka oda ya ukoko
 
Back
Top Bottom