ormystatus
Member
- Nov 3, 2019
- 89
- 176
Habari za mda huu wadau.
Naomba kuuliza wapi naweza pata perfume, mafuta ya nywele na ngozi mazuri kwa bei ya jumla hapa kariakoo.
Na namna uuzaji wao ulivo kama wanauza kwa pc au kupima.
Natanguliza shukrani.
KWENYE SUBJECT NIMEMAANISHA NYWELE NIMESHINDWA KUFANYA EDITING.