Children of our future

Mbowe kama alivyobarikiwa na Baba yake wa Ubatizo Juliua Nyerere amembariki pia huyo mtoto kwa uwezo wa Allah Insha Allah
 
CHADEMA wanatafuta mitaji kwa kila aina ya mbinu. Nina uhakika kabisa huyo mtoto akifuatiliwa na Waandishi makini, watakuta ni kama yale tu ya miaka ya Nyuma.
.
..CHADEMA kutengeneza mazingira ya Kujinenepesha kisiasa. Kumbukeni hotuba yake Mwanza....kuhusu Watoto au Vijana wa Kesho na Umri wao. Jiulizeni, huyu mtoto kwenye picha ana miaka mingapi? amesoma mpaka la ngapi? anajua Siasa ndio nini? anajua hata Kuandika Mbowe au ana historia yeyote ya Mbowe?

Aisee. Lazima ufikirie nje ya miboksi ya Propaganda.
 
Hapa ndio waafrika tunapofeli, hatuwezi kuona maono ya watoto wangali wadogo hasa kwenye vitu kama hivi tunakimbilia kusema ni propaganda
 
CHADEMA wanatafuta mitaji kwa kila aina ya mbinu. Nina uhakika kabisa huyo mtoto akifuatiliwa na Waandishi makini, watakuta ni kama yale tu ya miaka ya Nyuma.
Hapa ndio waafrika tunapofeli, hatuwezi kuona maono ya watoto wangali wadogo hasa kwenye vitu kama hivi tunakimbilia kusema ni propaganda
Mshana Jr, nimezungumzia CHADEMA kufanya propaganda, na sio mtoto kufanya propaganda.
====================
Kumbukeni hotuba yake Mwanza....kuhusu Watoto au Vijana wa Kesho na Umri wao. Jiulizeni, huyu mtoto kwenye picha ana miaka mingapi? amesoma mpaka la ngapi? anajua Siasa ndio nini? anajua hata Kuandika Jina
la Mbowe au ana historia yeyote ya Mbowe?

====================
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…