mpaka awekwee kwenye chain.Huyu mtoto atakuja kuwa MTU mkubwa Sana Tanzania
Hapo penyewe unawezakuta yupo kwenye chain.........mtoto wa mkuu mshana😄😄😄mpaka awekwee kwenye chain.
hahahahahahahaView attachment 2632423
Ni kweli mkuu watoto taifa la kesho
Ninashukuru sana nilipitia utoto kabla ya teknolojia kuchukua nafasi.View attachment 2632423
Ni kweli mkuu watoto taifa la kesho
Shame on you na kwa aliyepiga hii picha.View attachment 2632423
Ni kweli mkuu watoto taifa la kesho
Sababu tu MBOWE kapewa kuku?Hili ni tatizo jipya hapa nchini
MUNGU akiamua kuwa MTU Fulani hakuna wa kuzuia ebu angalia mifano ya viongozi kama Nyerere,mwinyi ,mkapa, na magufuli..njia za MUNGU hazichunguziki yeye akisema NDIYO hizo chains zinakuja zenyewe tumpaka awekwee kwenye chain.
njia za MUNGU hazichunguziki yeye akisema NDIYO hizo chains zinakuja zenyewe tu[emoji419][emoji375]MUNGU akiamua kuwa MTU Fulani hakuna wa kuzuia ebu angalia mifano ya viongozi kama Nyerere,mwinyi ,mkapa, na magufuli..njia za MUNGU hazichunguziki yeye akisema NDIYO hizo chains zinakuja zenyewe tu
If we care about children they gonna have bright futureMtoto alipewa Kuku na Mama yake ili amfuge, na mtoto alimpenda sana Kuku wake, lakini mtoto huyu ndoto yake ni kua mwanasiasa mkubwa katika nchi yetu, siku Mbowe amefika Kigoma mtoto aliemwambia mama yake nataka nimpe Mbowe zawadi na nipige nae picha, mama akamuuliza mtoto unampa zawadi Gani mtoto akajibu nampa Kuku wangu ninae mpenda.
Mbowe baada ya kusimuliwa Stori hii alitimiza ndoto ya mtoto huyu na kuahidi kutimiza ndoto yake Mbowe alivua Skafu yake na kumvalisha mtoto huyu.View attachment 2632404View attachment 2632407View attachment 2632408
CDM na Mbowe ni mpango wa Mungu