Childishness and Predictability in Korean Series

how can i install it in my pc? maana torrents inanipasua kichwa balaa

Tafuta setup zake uinstall kwenye PC yako, me nliidownload tu, hata ukiisearch google utaipata mkuu komeka

Ni downloader nzuri sana, kokote kwenye video inakupa option ya kuidownload
 
Last edited by a moderator:
That one is good, very good, but sad ending...
Joseon Gunman is historical and still on going..
I just love it. Promising too.

Nimemaliza kucheki gye baek.., ila ni ya kawaida tu, sio nzuri kihivyo ingawa ilianza vizuri sana ukilinganisha na kina Yi San na Jumong hii haifikii hizo., anyway sasa hivi ngoja niangalie King Gwanggaeto the Great
 
Hio nayo nimemaliza kuangalia kitambo.. Ni ndefu kinooma na episode za mwisho sio nzuri sana.. Tafuta tree with deep roots au baek dongsoo..
 
Hio nayo nimemaliza kuangalia kitambo.. Ni ndefu kinooma na episode za mwisho sio nzuri sana.. Tafuta tree with deep roots au baek dongsoo..

Samahan mkuu baek dongsoo nimeishia seaaon 2 vp inaendelea??
 
Nimemaliza kucheki gye baek.., ila ni ya kawaida tu, sio nzuri kihivyo ingawa ilianza vizuri sana ukilinganisha na kina Yi San na Jumong hii haifikii hizo., anyway sasa hivi ngoja niangalie King Gwanggaeto the Great

Huo mzigo (King of Gwang....) ni wa maana, una episode za kutosha,
nimeangalia " My Girlfriend is Gumiho" kiukweli wamechemka kuna a lot of childish,
kuna nyingine inaitwa 49 Days, hiyo kiukweli wamepiga kazi

Amitabh...
 
Hio nayo nimemaliza kuangalia kitambo.. Ni ndefu kinooma na episode za mwisho sio nzuri sana.. Tafuta tree with deep roots au baek dongsoo..

Huo mzigo (King of Gwang....) ni wa maana, una episode za kutosha,
nimeangalia " My Girlfriend is Gumiho" kiukweli wamechemka kuna a lot of childish,
kuna nyingine inaitwa 49 Days, hiyo kiukweli wamepiga kazi

Amitabh...

Nimemaliza kuangalia hilo li-package la King Gwamggaeto the Great.., na ipo poa 92 episodes za dakika 45, yaani masaa 69.., takriban siku tatu ukiangalia back to back bila kulala wala kupumzika...

Its about time na sisi tuwe na series za kina Mkwawa the Great; Kimweri the Overseer.., au tukishindwa sana basi hata Kibanga ampiga Mkoloni
 
hali ya aina hii ndo ilinifanya niache kuangalia tamthilia za kifilipino.but za wakorea bado kwangu ni the best.napenda sana mandhari wanayoigizia pamoja na stori zao.kuna baadhi ya zingine za kimujini ni noumer.tafuta moja inaitwa CITY HUNTER,ni sheeedah mkuu
 
Sasa ngoja niangalie King Geunchogo nione nayo vipi
 
City Hunter nimeicheki ipo poa
 
Hio nayo iko poa.. Betrayal at its worst. Now am watching empress Ki and its promising

Hii King Geunchogo baada ya kugundua kwamba ni watoto wa Kambo wa Jumong na yule mpenzi wake na mwanzo wanagombania kuongoza nchi ya Yuri mtoto wa Jumong nimeona kwanza ngoja niiweke pending ngoja kwanza niangalie hii Chuno - slave hunter.., mara nyingi mimi napenda underdogs ndio washinde yaani mtu ambae hategemewi sana afanikiwe..

Duh tatizo choice zikiwa nyingi mtu unashindwa ucheki ipi na uache ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…