Chiku Abwao akipiga JALAMBA Vijijini

Well done Chiku, maana umegundua kuwa CCM imekuwa ikizoa kura sana huku vijijini. Mkifanya jitihada kama hizi kwenye vijiji vyote hapa Tanganyika, hakuna wa kuwazuia kutinga ikulu 2015.

Ni kweli kabisa ingawa mikutano ya mjini inasisimua kwa wingi wa watu lakini mikutano ya vijijini ndiyo inayojenga wapiga kura wasioyumbishwa kirahisi. Kama mpiga kura wa kijijini akikuamini na wewe ukiaminika basi bila shaka kura yake ni lazima.
 
Hongera chiku kwa kuhamasisha wananchi kuhesabiwa. Ujenzi wa chama huanzia kwenye grassroot , big up.
 
Dah!migoli ndo ngome ya chadema kwa Iringa vijijini,ni kijiji mji chenye vijana wanaojitambua!wamejitolea kujenga ofisi kubwa sana ya chama bila woga!!CCM wakae mkao wa kula mamluki kama Babu Nzwaga,Alex Ndilwa,lenard Mlongwa ni mamluki wa Lukuvi asiyewasaidia chochote hata ada ya watoto!MIGOLI twende twende msiachwe nyuma

napakumbuka sana hapa enzi hzo napita naenda shule tosamaganga, njia ya kupitia mtera kwenda iringa kama na hawa ndugu wameelewa basi ccm kwisha!
 
Back
Top Bottom