Chifu mkwawa nakutegemea

Chifu mkwawa nakutegemea

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,629
Reaction score
5,262
wanajamv, naomba mnjuze ni samsung ip ambayo ina 3g ,wifi,kamera ya kuanzia megapixel tano,yenye flashlight na kioo cha wastan ,pia iwe na keypad cio tach.pia bei nataka nami kuhamia 7amsung nione ma2nda yao
 
Mkuu Hii itakufaa??
ina kila ulicho kieleza
samsung-galaxy-m-pro-b7800.jpg
pia unaweza pitia link hii
http://www.gsmarena.com/search.php3 na ukaweka vitu uvitakavyo ili upate simu uitakayo
 
hii title uliyoweka mkuu inakupunguzia watu wa kukushauri mtu anajua inamhusu chief mkwawa tu pasee hata kuifungua hafungui
 
wanajamv, naomba mnjuze ni samsung ip ambayo ina 3g ,wifi,kamera ya kuanzia megapixel tano,yenye flashlight na kioo cha wastan ,pia iwe na keypad cio tach.pia bei nataka nami kuhamia 7amsung nione ma2nda yao
Kwanini hukutumia PM?
 
kaka ningar amekujibu vizuri swali lako kuongezea kuna galaxy s blaze nayo ina qwerty sema ndo zote hizo os yake ni 2.3 gingerbread.

samsung-galaxy-s-relay-4g.jpg


simu latest ya samsung yenye qwerty ni galaxy chat sema tatizo haina flash na camera ni 2mp.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom