Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
Kaka habari ,na2mai umzma hebu nitoe tongotongo kwa hili NINI TOFAUT YA simu ambayo ni clone na original manake nimepitia uzi mmoja humu nikaona m2 akidadavua kwamba kuna clone na orgnal m nlijua 2 kuwa clone ni moja yamajna ya aina za samsung.nisaidie kaka