real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Alikuwa mgombea urais Tanzania bara kupitia chama cha ADC uchaguzi mkuu wa 2015, alioa wake 13 na amezaa nao jumla ya watoto 25 kwa sasa hivi anaishi na wake 5, anataka kufikisha watoto 30.
Alipata kura 66,049 uchaguzi mkuu uliopita sawa na 0.43%.
Chanzo: Mwananchi
Alipata kura 66,049 uchaguzi mkuu uliopita sawa na 0.43%.
Chanzo: Mwananchi