Sasa hapo bahati mbaya akatokea pisi kali afu mzee akadinda inakuwaje tafarani yake ?!
Hiyo ni kujitoa ufahamu. Watu miaka hiyo walivaa hivi sababu hakukuwa na mavazi, dunia imeendelea wanadamu tunazidi kuwa wamoja why uhangaike na identity za kipuuzi kama hii ya kukaa uchi ili kuprove we ni wa tofauti na wakati hiyo ina maanisha umeamua kuwa na fikra mgando kwa jambo ambalo halina msaada kwako na kwa kizazi chako zaidi ya kukidumaza kisiendelee .