Chief Mkwawa njoo hapa.

Chief Mkwawa njoo hapa.

Jeff Marsy

Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
10
Reaction score
4
Habari ya uzima mkuu nimepata dell precision m6300
video card ni NVIDIA Quadro FX 1600M - 256
MB
Hapa vip mkuu kwa game kama gta 5 na fifa 16 pia warcraft
 
ya inacheza bit speed yake iyaendana na size ya ram io video card size siombaya sana ni nzurninaweza kusukuma game ka izo
 
mkuu hakuna laptop hapo huwezi cheza games za kisasa kama hizo. gpu za quadro ni kwa ajili ya proffesional apps kama za 3d na video editing halafu hio ni quadro ya zamani inapitwa hadi na baadhi ya simu.

pia siku nyengine ukiwa na thread personal kama hii nitumie pm usiandike jina kwenye thread
 
Halafu alivoita sasa, kama unalipwa kwa consultation unayotoa
 
mkuu hakuna laptop hapo huwezi cheza games za kisasa kama hizo. gpu za quadro ni kwa ajili ya proffesional apps kama za 3d na video editing halafu hio ni quadro ya zamani inapitwa hadi na baadhi ya simu.

pia siku nyengine ukiwa na thread personal kama hii nitumie pm usiandike jina kwenye thread
Mkuu je ikiwa Fx 3600M hapo vip
 
Chief Mkwawa umekuwa msaada sana humu. Asante kwa hilo
 
Back
Top Bottom