Chid Benz katupia hii picha mtandaoni leo.

Miwani kama macho ya dondola wa Kazimzumbwi!
 
Anauza Mkaa.......?......mbona mia tano zipo nyingi sana..........
hata mimi nimejiuliza swali hili hili, sijui huyu show zake analipwa bei gani, akili ndogo bhana yeye hapo anaona ameuza kwelikweli, usikute sababu ya stimu za ganja anaziona ni dola mia mia....
 
hahhahaha yaaan wenzake wanaweka dollar yeye anaweka jero..... sijawahi ona hii...kwa upande wake anaona yupo vizuri
 
Stage ya kukata tamaa/liwalo na liwe.
He looks lonely .... get some pu$$y and hit the studio fool!
 
huyu dogo ni bonge la ----.yaani kumuachia vijisenti vyangu dakika chache tu,kajipiga picha na kuiweka instagram.bure kabisa
 
Two + 2 =Two2,
2 + Mbili =MBILI2,
2 + 2 =2 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…