Rashid Abdallah Makwilo! King Kong! Anasikitisha sana. Atatoka Kweli kwenye hili shimo alilotumbukia!? Maana kama namuona Banza! Ila Mungu ndio anajua.
Rashid Abdallah Makwilo! King Kong! Anasikitisha sana. Atatoka Kweli kwenye hili shimo alilotumbukia!? Maana kama namuona Banza! Ila Mungu ndio anajua.
I want to speak to the manager. Humu boss nani? Natoa malalamiko yangu. Humu kuna shangazi mmoja ananitumia picha za matiti dm kipindi hiki cha kwaresima mimi nakwazika sana.
Huyo kashindikana! Watu wengi tu wameshajaribu ila pasua kichwa;
Afu mbaya zaidi anakula ule unga mchafu kabisa wa buku 3 kwa kete mmoja.( Hiyo buku 3 some time inakua shida kwake) maana ashakua chronic anabugia kete nyingi Sana kwa siku. Na pesa hana