Chid B new model

!
!
Simuombei mabaya ila kama hatafanya juhudi za haraka aisee tutamzika soon. Hiyo sio kawaida aisee daaah. Sisemi sitakufa ila kwa hali hiyo huyu anko abadili uelekeo haraka
 
!
!!
Namkumbuka Marehemu Geez Mabovu pale mitaa ya Aika kinondoni B alikuwa hivi hivi tukampoteza. Daah. Ngweir, Mez B, aisee na huyu naye. Hatari mno aisee.
 
!
!
Simuombei mabaya ila kama hatafanya juhudi za haraka aisee tutamzika soon. Hiyo sio kawaida aisee daaah. Sisemi sitakufa ila kwa hali hiyo huyu anko abadili uelekeo haraka
Ngoja afe ili cc tujifunze kutoka kwake maana yy alishindwa kujifunza kutoka kwa mangwea na rayc wanasema tunajifunza kutokana na makosa ila ni ujinga kujifunzia makosa yako mwenyewe RIP
 
enzi hizo mwenyewe alikuwa anajiita Chuma au Kingkong..nk.
sasa sijui sasa hv atajiita nani?
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji5] [emoji5] [emoji1] [emoji2] [emoji3]
jinsi nilivyokuwa namuogopa kipindi hicho.. ila sasa simuogopi tena so akinizingua tuu nampasua vibaya sanaaa
 
Kila msanii aliyetumia drugs dunia hii wengi wamekuwa na bad ending vifo vya masikitiko makubwa" Whitney Houston, Amy Winehouse even MJ alikua overdose with drugz, Ngwair, Langa thy die young inasikitisha sana R.I.P,
Ubaya ni kuwa ukishaanza hii kitu ni kama umeanza kutiana ngumu mno kuacha..
#SayNoToDrugs
 
Kumbe afadhali addiction ya juju[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Dah! Sijui vijana huwa tunapata faida gani kutumia haya madude. Pole sana Chidy Benzino
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…