chichatters sa ingine tunavuka mipaka!

Hicho kinachoitwa BAN ndo nini Katavi? Sijawahi na wala sitegemei kukutana na BAN maishani, hata Buchanan anajua. Heshimu member mwenzako, fuata sheria za JF.

Jisemeeni nyie.
Lakini mkiangalia hali ya sasa kusema ukweli kuna watu wanakera sana. . . .na ni ngumu sana kuwachekea watu wa namna hiyo (ngoja nisiseme sana).
So kama ni suala la ban sometimes litahusika tu!
 
Bishanga umeona kuna 'LIKE' za watu wa3 za kalamu za chuma hapi ndio hao hao wahusika wakuu lol
 
Last edited by a moderator:
Like ! Like ! Like! Bishanga kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 15 ukiwa hapa JF leo umetoa pointi mkuu!! Naunga mkono hoja asilimia mia, nanyanyuka na kugonga meza kuonesha msisitizo!
siku utakula BAN ntakuja kukuonyesha hii koment huu ni msumeno at unakata pande mbili ndugu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…