Chicago yamkataa Donald Trump

Chicago yamkataa Donald Trump

Erijo hivi kweli huwezi kuona nchi yetu ilivyo Na utajiri wa kila aina?
Mzee Ngosha amekuja kutuonyesha vitu tulikuwa au nilikuwa sijui Kama viko.Kwangu hii ni kuifanya nchi yetu iwe nzuri tena.
Kuhusu Donald USA siku zote ipo great uchumi,utajiri Na mambo mengi kwa raia wao.Sasa huyu Donald atafanya nini ambacho hakijafanywa.
Vile vile usa wana matawi matatu ya serekali.Hata akiwa rais wao hawezi kuleta mabadiliko yeyeto.
Huo utajiri wa Tz ni upi? maana WB, IMF, CIA world fact book etc yanaonyesha Tz kama moja ya nchi maskini zaidi duniani.

wewe ulikuwa hujui kuwa tuna Madini, Gesi, Misitu, mbuga za wanyama, mito,Maziwa,bahari,mlima mrefu zaidi Africa na vituvingine kedekede?
 
Hizi fujo ni za kutengeneza na hakika wala hakuna fujo kama tunavyoonyeshwa nimeangalia ni wahuni tu wachache wametengenezwa na wale Matajiiri wauaji ili wafanye fujo na kupewa attention kwenye media...hawa wazungu wauaji ni hatari walichukua maandamano ya India wakaweka kuonyesha ni Libya hawa ni wauaji walaishazoea uongo na kunywa damu za watu...huyu Trump anasema kwann Sadam aliuawawa?? Kwann Ghadafi auliuwawa?? Walikosa nn na je baada ya kuwaua Dunia imekua salama?? Lakini ujinga huo huo Obama na wenzie wauaji wanaufanya Syria ni vita ya pesa tu..na biashara hawa watu wabaya sna sana...Trump ataifanya Dunia iwe na amani
Alichoongea kuhusu Libya na Iraq ni kweli,na kuongea hivo haimaanishi ataleta amani kwenye nchi zenye dola za kiislam maana alishaweka bayana ni mtu wa namna gani !
 
Back
Top Bottom