Chezeya Paka wewe!

Chezeya Paka wewe!

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Posts
2,475
Reaction score
748
Jamaa mmoja laiamua kwenda kumtupa paka wake mbali na home, aliporudi bade home alimkuta paka katia timu kitambo tu, jamaa akakasirika sana.
Siku ya pili aliamua kwenda umbali kama 50kms hivi akapiga chochoro za kutosha kisha akamtupa,akaanza safari ya kurudi home. baada ya muda akampigia mkewe simu, vipi mke wangu huyo paka yupo?
Mke: ndiyo mume wangu,tena katulia hapa kwani imekuaje?
Jamaa: hebu mpe simu anielekeze njia ya kurudi nimepotea.:ranger:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom