Mr Rocky nilielezwa na Daktari wangu njia mojawapo ya kupunguza "stress" ni kuchangamana na tabaka la chini kama kupiga story na walevi kilabuni, vikundi vya ngoma kama afanyavyo huyo Muindi
Mr Rocky nilielezwa na Daktari wangu njia mojawapo ya kupunguza "stress" ni kuchangamana na tabaka la chini kama kupiga story na walevi kilabuni, vikundi vya ngoma kama afanyavyo huyo Muindi
Mkuu Ndachuwa kuna kujichanganya kwa kupenda yaani unapenda wewe mwenyewe kukaa na watu wa tabaka la chini unawasikiliza story zao na kubadilishana na mawazo
Huyu jamaa hapo hajapenda na wala haitoki moyoni mwake ila kwa kuwa kuna anachopigania ndo maana ameamua kujichanganya na hao watu