Chezea taikwondo wewe

Kaka hii inaitwa mawashi geri keage

Inapigwa kwa mguu kama vile mtu anapiga kofi

Yoko geri ni kama upanga yaani unampiga mtu kwa kutumia kingo (jina zuri sijui) za mguu

Kama sio haka ka tochi kangu ningekuwekea picha

Nimekupata mkuu na mimi mwenyewe natuma kamchina hapa...

Ingekuwa imewekwa video tungejua kirahisi ni pigo gani...

Ila hii kitu ukimchapa nayo mtu kama ana meno legelege lazima ayateme kadhaa...

Kwenye mieleka WWE, Shawn Michael alikuwa natumia sana teke mithili ya hili mwenyewe alikuwa analiita Sweet Chin Music...
 
Nahisi unachanganya madesa boss
Teke linalopigwa kwa kukunja kisigino na kupigwa kwa kurudi nyuma linaitwa "ushiro geri" waswahili wanaliita teke la punda

Upo vizuri...

Ukipigwa hiyo kitu kama umekula bamia lazima zitoke kama zilivyo...
 

Ni kweli kaka
Ila inategemea na uwezo (kwa maana ya nguvu) ya mpigaji maana kwa mithili ya teke lenyewe hata wale wacheza sarakasi (ambao hawana ujuzi wa karate) anaweza kulipiga lisilonamadhara
 
Mkuu hii mambo hatari ,nilistaafu kidogo........Yoko geri ni hatari sana ,tunachukulia simple ina inadhuru
 
Mawa
Kaka hii inaitwa mawashi geri keage

Inapigwa kwa mguu kama vile mtu anapiga kofi

Yoko geri ni kama upanga yaani unampiga mtu kwa kutumia kingo (jina zuri sijui) za mguu

Kama sio haka ka tochi kangu ningekuwekea picha
Mawashi geri keage ....ingekuwa ni kisigino mai geri keage au kisu cha mguu ingekuwa yoko geri keage
 
Nahisi unachanganya madesa boss
Teke linalopigwa kwa kukunja kisigino na kupigwa kwa kurudi nyuma linaitwa "ushiro geri" waswahili wanaliita teke la punda
Mbona kila pigo ni geri tu au kwakua kapiga mwanamke? Mawashi boi hakuna?
 
Unaongelea mawashigeli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…