Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
wadau wanashambulia pilau mama wa hapo pembeni kasogezewa bakuli la maharage anawashangaa tu
nimefungua fasta nikijua ni "pilau" letu lile...
si unaona mkononi kama kashashika tonge ila anashangaahuyo atakuwa ndo mpishi mwenyeweee
si unaona mkononi kama kashashika tonge ila anashangaa
ila nimependa walivyotumia mikono bila vijiko..halafu wana-share sahani mojayani anavyoshangaa huyo duh
ila nimependa walivyotumia mikono bila vijiko..halafu wana-share sahani moja
nadhani sinia kavu,au walianza nayo nini?nimetamani maharage yanaonekana yameiva vizuri teh tehhivi lile pale pembeni ni sinia lina wali halafu maharage yapo kwa juu
nadhani sinia kavu,au walianza nayo nini?nimetamani maharage yanaonekana yameiva vizuri teh teh
but why leo uko hivi lakini?unanishtuaI will cook for you someday.........halafu hawajayatoa hata kwenye sufuria
but why leo uko hivi lakini?unanishtua
acha kuchezea watu basiam expressing my self..........
Unaogopa
Pilau kwa nyama ya tembo
acha kuchezea watu basi
mwallu ni nininaujua huu msosi..
mtamu sana