chezea ndoa wewe

Kwani uwongo?ndoa ni magumashi siku hizi unless u make Jesus awe mdhamini na msmamizi wa ndoa.
 
Ni Changa moto tu hizo zinazopatikana katika taasisi hiyo ya ndoa, wala sio tatizo kubwa ni jinsi wanavyoona wanatatua matatizo ya nyumba yao
Mkimpa shetani nafasi atawavuruga tu, Ila MUNGU akiwa kiongozi ,mwalimu na mlinzi wa ndoa yenu mtaifurahia tu
 
Wengi sana wamejikuta wakiingikia kwenye ndoa kwa kuchua ubavu wa wengine na matokeo yake ndio kama hayo
Wanaingia kwenye ndoa kwa mawazo yao mapendekezo yao na vigezo vyao wao na sio kama Mungu anavyotaka wamesahau mwazilishi wa ndoa ni Mungu na Mungu haangalii kama wanavyoangalia wanadamu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…