Chezea Mwalimu uwe taahira milele....

Chezea Mwalimu uwe taahira milele....

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
21,031
Reaction score
53,895
Baada ya mgomo wa waalimu kuwa batili, Waalimu sasa wanaamua kuwalisha sumu wanafunzi...
Mwanafunzi: please maadam how many types of coffee do we have in Africa?
Teacher: (kwa hasira) Two...
1.coffee annan
2.coffee olomide
Chezea Mwalimu uwe taahira maisha yako yote...
 
Mwalimu yuko sahihi kabisa huwenda yeye alidhani watu wenye majina ya coffee
 
Back
Top Bottom