Wissman
JF-Expert Member
- Dec 12, 2014
- 1,034
- 1,319
Ni bofloBOFOLO ndo nini mkubwa?
Huo mkate mkuu!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni bofloBOFOLO ndo nini mkubwa?
Huo mkate mkuu!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yebooo!!!
Kuna Msukuma (dereva).... Camp ya wazungu....... akaagizwa aende kuchukua nyembe 50''blade'' kwenye super market mjini........ ambapo huchukua vitu kwa bill na kulipa mwisho wa mwezi...sasa msukuma kufika supamarket akasema katumwa ''bread'' 50 duh ilikuwa sherehe ya mikate siku hiyo camp.
kumbe Bibi yake mzaa Baba yako ni msukuma?Msukuma bibi yako