chezea mchina!!!!!!!!!!!!!!!!

chezea mchina!!!!!!!!!!!!!!!!

Beso

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
216
Reaction score
59
only_in_china_31.jpg

only_in_china_10.jpg

only_in_china_03.jpg

only_in_china_02.jpg
 
ha ha haaaaaa Hii picha ya nne, kumbe mashoga ya kichina yana wowowo!
 
Hawa sio wachina ni wakorea

Picha zote ni Wachina...mandhari inasuggest hivyo.
Picha namba 1, pikipiki waliyopanda hao macho madogo ni ya brand ya LIFAN, na brand hiyo ni ya Kichina.
Picha namba 2 kwenye background kuna maandishi yameandikwa PEAK. PEAK ni brand name ya kichina ya vifaa vya michezo.
Picha namba 3, brashi inayotumika kuchora nywele za huyo babu hutumika pia kwenye kuandika maandishi ya kichina, ambayo hufahamika kama "shufa".
Picha namba 4 inayomwonesha bwabwa, katika background yake kuna Chinese characters(Hanzi) kwenye ukuta wa jengo.

上次该不骗人,号码? next time usidanganye watu...JF ni kichaka cha Great Thinkers
 
attachment.php


Jamaa aliyekaa baada ya dereva ukicheck uso wake kama kuna kitu kinamuumiza kwa nyuma eenh!!
 
kinafaa kumeng'enywa eenh?
Mkuu watu8 hata ukinishkia chamoto yaani sikamati hii kitu kabisa. Sitaki laana. Khaaaa nikifikiria tu nitakakokuwa naingia stimu itakata ghafla.
 
Back
Top Bottom