Chezea machizi wewe!!

mkuyati og

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
821
Reaction score
589
daktari aliamua kupima maendeleo ya wagonjwa wake wawili wa akili. akawapa kioo na kuwambia wakiangalie na kutambua sura watakayoiona.
CHIZI 1; (huku akiangalia kioo) hii sura kama naijua vile, ila ckumbuki nimeiona wapi!!
CHIZI 2; (nae akachukua kioo na kutazama) kweli we mwenzangu bado mgonjwa,,, yani hata sura yangu umeshindwa kuitambua??!! Huyu kwenye kioo si ni mimi?, hebu chukua uangalie tena!
CHIZI 1; (huku akijiangalia kwa mara ya 2) kweli aisee, huyu ni wewe. Ndo maana nlisema hii sura kama naijua vile!!

Dokta akazimia..
 
Kumbe nae dokta nae chiz ss hapo anazimia nn
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…