Hii stori haina kichwa wala miguu.Huwezi kwenda katika kambi ya jeshi huku umebeba bunduki ,na kuwakuta askari wamevaa makombati, kisha ukawauliza nani mwanajeshi hapa?Baada ya kukosa jibu ndipo unaamua kumchua mwanajeshi mmoja na kutoka naye nje ya kambi.Unafikiri nini kitafuata baadaye?