chezea jeshi wewe

Maafande hutumia hiyo kulazimisha vitumbua kwani hawana pesa za kuhonga.
 
mkuu nimekusoma haya ni matatizo ya kuruka kichura miezi sita halafu unapewa upolisi.kwa mazingira hayo ya hasira na hapo alipo anafoka ikiwa hao wadada watatoa neno ambalo hakulipenda katika hali isiyotarajiwa anaweza kuifyatua hiyo silaha bila mataraio yake.vyovyote akari wetu hawana akili.
 

Hii picha huwa inanifurahisha kwa kuwa hawa watu nawajua. Ila pia inanishangaza kuona polisi wa Tanzania kutokuwa na uelewa wa kutumia reasonable force/methods kufanya mambo yao. Kuna nyingine mdada mmoja kaangukia mtaroni akiwa anakimbia funny enough, ajabu na kushangaza zaidi wako polisi kama kumi hivi na silaa wanamfuata.

Sent from my SGH-T959 using Tapatalk 2
 

Elimu ndio tatizo. Wengi wa hawa polisi wetu ni wachora mazombi mwisho wa siku wanaingizwa polisi na kina mjomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…