chezea jeshi wewe

chezea jeshi wewe

Maafande hutumia hiyo kulazimisha vitumbua kwani hawana pesa za kuhonga.
 
Kumbe ndo maana askari wetu huwa wanaua raia ovyo.... Ni askari waliopitia mafunzo kimagumashi. Askari aliyefundishwa Israeli, Korea, Urusi, Marekani, Uingereza, Ujeruman etc nchi zenye mafunzo na maadili katika utumizi wa silaha asingeshika bunduki kizembe (Uzembe hatarishi) namna hiyo.... Hebu cheki kidole chake alivyokiweka katika bunduki yake. Je, ni sahihi kuweka kidole namna hiyo na kwa mazingira hayo tunayoyaona???? Waliopitia mafunzo yenye maadili nawauliza, je ni sahihi??? Kitaalamu, kidole kitasogea kwenye trigger only and only if you are ready to pull it!!!! Hebu waangalie hao wasichana walivyokaaa, je kuna dalili hata ya kutumia teke kuwaadhibu ionekane yafaa sasa kidole kisogee kwenye kifyatulio??? Mh! kazi ipo maana hata katika jeshi mtu anaajiriwa kiukabila matokeo yake hazingatii mafunzo kisa aliyemwajiri na kumfundisha ni home boy.... Lolote likitokea hawezi kufanywa lolote... Kazi ipo katika ajira za ukabila Tanzania.
mkuu nimekusoma haya ni matatizo ya kuruka kichura miezi sita halafu unapewa upolisi.kwa mazingira hayo ya hasira na hapo alipo anafoka ikiwa hao wadada watatoa neno ambalo hakulipenda katika hali isiyotarajiwa anaweza kuifyatua hiyo silaha bila mataraio yake.vyovyote akari wetu hawana akili.
 

Hii picha huwa inanifurahisha kwa kuwa hawa watu nawajua. Ila pia inanishangaza kuona polisi wa Tanzania kutokuwa na uelewa wa kutumia reasonable force/methods kufanya mambo yao. Kuna nyingine mdada mmoja kaangukia mtaroni akiwa anakimbia funny enough, ajabu na kushangaza zaidi wako polisi kama kumi hivi na silaa wanamfuata.

Sent from my SGH-T959 using Tapatalk 2
 
Hii picha huwa inanifurahisha kwa kuwa hawa watu nawajua. Ila pia inanishangaza kuona polisi wa Tanzania kutokuwa na uelewa wa kutumia reasonable force/methods kufanya mambo yao. Kuna nyingine mdada mmoja kaangukia mtaroni akiwa anakimbia funny enough, ajabu na kushangaza zaidi wako polisi kama kumi hivi na silaa wanamfuata.

Sent from my SGH-T959 using Tapatalk 2

Elimu ndio tatizo. Wengi wa hawa polisi wetu ni wachora mazombi mwisho wa siku wanaingizwa polisi na kina mjomba
 
Back
Top Bottom