chezea jeshi wewe

Duh; lazima uombe msamha hata kama hujakosea.............!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nadhani tukio litakua lilinaswa kwenye moja ya migomo ya vyuo vikuu hususani UDSM...
 
Huu ni uonevu....vita vya ni kwa civilians tu. Kwanini wasipelekwe Darfur Or Mali wakasaidie wenzao wenye vita vya Ukwee
 
Huu ni uonevu....vita vya ni kwa civilians tu. Kwanini wasipelekwe Darfur Or Mali wakasaidie wenzao wenye vita vya Ukwee

Darfur wanaenda, haiwezekani wakaenda wote. hao wauza k watasumbua sana watoto wetu
 
Ni uonevu tu, hao mabinti hata bila silaha hawana unawadhibiti.
 
Huu ni uonevu....vita vya ni kwa civilians tu. Kwanini wasipelekwe Darfur Or Mali wakasaidie wenzao wenye vita vya Ukwee

Darfur mbali,hawawezi hata kupambana wao(majambazi wa kipolisi) na majambazi wa kiraia ukiwapigia simu watakuja baada ya saa tano kupita. Waambie kuna watu wanaandamana watakuja ndani ya dakika sifuri pamoja na silaha za moto.
 
Hapo jamani akiomba anachotaka anapewa kiulainiiii
 

Kumbe ndo maana askari wetu huwa wanaua raia ovyo.... Ni askari waliopitia mafunzo kimagumashi. Askari aliyefundishwa Israeli, Korea, Urusi, Marekani, Uingereza, Ujeruman etc nchi zenye mafunzo na maadili katika utumizi wa silaha asingeshika bunduki kizembe (Uzembe hatarishi) namna hiyo.... Hebu cheki kidole chake alivyokiweka katika bunduki yake. Je, ni sahihi kuweka kidole namna hiyo na kwa mazingira hayo tunayoyaona???? Waliopitia mafunzo yenye maadili nawauliza, je ni sahihi??? Kitaalamu, kidole kitasogea kwenye trigger only and only if you are ready to pull it!!!! Hebu waangalie hao wasichana walivyokaaa, je kuna dalili hata ya kutumia teke kuwaadhibu ionekane yafaa sasa kidole kisogee kwenye kifyatulio??? Mh! kazi ipo maana hata katika jeshi mtu anaajiriwa kiukabila matokeo yake hazingatii mafunzo kisa aliyemwajiri na kumfundisha ni home boy.... Lolote likitokea hawezi kufanywa lolote... Kazi ipo katika ajira za ukabila Tanzania.
 
Nchi kila kitu hakifuati utaratibu wake. Yaani unampeleka mpishi akatengeneze umeme ndiyo mfumo uliyopo, na huyu wa magogoni ndiye katuharibia nchi; undugu, kujuana,ukabila na udini ndivyo vitatumaliza maana vigezo havizingatiwi hata kidogo.
 
Unatoka mapovu mdomoni mheshimiwa,hebu tueleze wewe unayejua kushika bunduki, kashikaje bunduki kizembe hapo!!!???Watz bhana wanajua kila kitu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…