Chezea baskeli guta wewe!!!!!!

Chezea baskeli guta wewe!!!!!!

Mwanaume anasifiwa kwa kazi, na kumbuka imeandikwa kuwa mwanaume atakula kwa jasho, na ndilo jasho lenyewe hilo.

*mwanaume hasifiwi kula. Bali kwa kazi ngumu, pombe kali na mademu wanene*
 
IlaKuna wanaume wanaondoka, balaa.............. Basi tu
Ukute huo ugali hapo ni wa mtu mmoja tu.

Wanaume Mmeumbwa, mateso, mateso.................kuhangahika.
Wapi Boarding School
Don%20Bosco%20cooking%20lunch%202.jpg

jamani huu ni unga wa nini,.yanga au?
 
mwanaume kadhini hapo akirudi home ulimi nje,ule uchi wa moto atakavyoufakamia sasa.

akipanda hashuki na gudugudu la Lt5 za maji ya bakharesa anamalizia hapo hapo... lazima fen isimamie upande huo
 
Back
Top Bottom