sokwe JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 2,022 Reaction score 1,065 Jun 16, 2014 #21 Kisaka80 said: Huyo ndio Super Mario-Balotelli, yaaani wa-Italiano wenyewe wanalikubali ile mbaya hili Jembe Lao! Click to expand... Wanakubali wapi mkuu! Kila siku wanamfananisha na chimpanzee wa goma.
Kisaka80 said: Huyo ndio Super Mario-Balotelli, yaaani wa-Italiano wenyewe wanalikubali ile mbaya hili Jembe Lao! Click to expand... Wanakubali wapi mkuu! Kila siku wanamfananisha na chimpanzee wa goma.
M MOSSAD II JF-Expert Member Joined Apr 14, 2013 Posts 3,971 Reaction score 947 Jun 16, 2014 #22 mzenjiboy said: Huyo Balotelli asili yake ni Nigeria. ⚽️ Click to expand... completely wrong!
mzenjiboy said: Huyo Balotelli asili yake ni Nigeria. ⚽️ Click to expand... completely wrong!
AL SHARPTON JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 2,797 Reaction score 954 Jun 16, 2014 #23 englibertm said: A fumble in the jungle: Mario Balotelli pushed past England's defence to bring the score to 2-1 for Italy minutes into the second half Click to expand... 0 Subiri round of 16 ama quarter final ndio utaona jinsi Balotelli na Italy watakavyvogeuzwa uchochoro. Wamekutana na vibonde so far
englibertm said: A fumble in the jungle: Mario Balotelli pushed past England's defence to bring the score to 2-1 for Italy minutes into the second half Click to expand... 0 Subiri round of 16 ama quarter final ndio utaona jinsi Balotelli na Italy watakavyvogeuzwa uchochoro. Wamekutana na vibonde so far
ze jackal JF-Expert Member Joined Nov 13, 2013 Posts 528 Reaction score 174 Jun 16, 2014 #24 Huyu Mmang'ati ni shida tupu....
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Jun 16, 2014 #25 okaoni said: Mashabiki ya Timu ya taifa ya England hawana tofauti kama mashabiki wa yimu ya taifa ya Tanzania. Pressure mtindo mmoja Click to expand... Over expectations zinazidi sana mkuu
okaoni said: Mashabiki ya Timu ya taifa ya England hawana tofauti kama mashabiki wa yimu ya taifa ya Tanzania. Pressure mtindo mmoja Click to expand... Over expectations zinazidi sana mkuu
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,140 Jun 16, 2014 #26 M2 wa kitaa said: Msimu ujao ndana ya jezi ya washika bunduki wa London Click to expand...