chezea babu wa facebook wewe...

chezea babu wa facebook wewe...

Mdudu Wa Masala

Senior Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
134
Reaction score
79
Niliangalia status tatu za
Demu flani Facebook,
ilikuwa ivi.
STATUS YA KWANZA:
"Leo lazima niende club"
Friday at 5:15pm
via Nokia

STATUS YA PILI:
"lol, siamini aiseee... Yaani
kizee cha miaka 60
kimeniambia kinataka
kiwe na mimi usiku mzima
afu anipe simu ya
blackberry!! Inaboa,
anadhani mi ni Malaya"
Friday at 11:23pm
via Nokia

STATUS YA 3:
"Wow,... Usiku wa Jana
ulikua poa sana, najisikia
poa sana ashubuhi ya Leo"
Saturday at 8:09am
via BlackBerry
.
.
Ukiona manyoya jua....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom