Cheyo aisulubu CHADEMA

Mbwa hua hang'ati mkono wa anaemlisha jamani..... sana sana huwa anaulamba tu...... kwa hiyo mwacheni aendelee kumlamba JK ili aendelee kushiba.....
 
Fikra za kutoka kwenye mizizi ya tumbo.
Poor Cheyo
 
Credibility ya Chadema itaendelea kuongezeka machoni mwa neutrals kama sisi wakizi-ignore kejeli za akina Cheyo, Lipumba, Lyatonga, Mbatia - you name them all.

Hao ni very insignificant obstacle kwenye hii crusade....... but CCM is.

So Chadema shd spare all their ammunition stock kwa ajili ya CCM and just ignore the others with a strong weapon called 'silence'
 
Credibility ya Chadema itaendelea kuongezeka machoni mwa neutrals kama sisi wakizi-ignore kejeli za akina Cheyo, Lipumba, Lyatonga, Mbatia - you name them all.

Hao ni very insignificant obstacle kwenye hii crusade....... but CCM is.

So Chadema shd spare all their ammunition stock kwa ajili ya CCM and just ignore the others with a strong weapon called 'silence'
 
CCM itakuwa chama kikuu cha Upinzani 2015! Hongera CCM, mtaunda kambi ya upinzani na wake zenu CUF, NCCR au mtawataliki. Si unajua NCCR na UDP hawatakuwepo!
 
Njaa ni kitu kibaya sana, lakini upungufu wa Akili na Unafiki ni Hatari zaidi unaweza kula hata watoto wako ukiuendekeza
 

Siku Rais halali wa nchi hii akiiingia madarakani wakakufa watu wengi sana kwa pressure, waTZ hasa vijana wanachotaka ni Maisha bora si blah blah wanazofanya kina JK na hawa rafiki zake.

Tatizo la hawa wameshahongwa kwa kupigiwa pande la uongozi na CCM, hawana tija.

Hivi leo hii Cheyo akiongea anatofauti gani na senior member moja wa hapa JF, sioni tofauti hata kidogo

Therefore CDM tusonge mbele na WaTZ.
 
Falsafa ya nguvu ya Umma haina maana yeyote kwa watanzania hila Falsafa ya kuwajaza mapesa iliyoshindwa toka mwaka 1995 -2010 kuleta ushindi kwa UDP au WanaBariadi magh ndio suluhu? Toka 1995 hadi leo Cheyo ni mbunge wa Bariadi magh je wanaBariadi wamejazwa mapesa? Je jimbo lake ni la kupigiwa mafano kwa maendeleo? je chama chake kinaendelea kwa kwenda mbele au kinaendelea kwa kurudi nyuma?
Wana jf ktk jukwaa hili kwa yeyote ambaye anaelewa siasa za Bongo japo kiduchu anijuze Uongozi wa kitaifa wa UDP kuanzia na katibu mkuu wa UDP, Makamu mwenyekiti,yaani ukiondo mwenyekiti CHEYO nielezwe viongozi wanne tu wa kitaifa wa UDP ni kina nani?
kama wengi wetu watakuwa at least wanawafaamu japo viongozi wawili wa chama hicho, basi UDP bado hipo hai, lakini kinyume chake kitakuwa chama cha ktk mafile ya TENDWA ( vile vyama viitwavyo na JK vyama vya msimu wa uchaguzi)
Tahadhari TENDWA asijibu swali hili maana nimepata taarifa yeye na vijana wake wa ofisi ya msajili tupo nao humu
 
Kwa jinsi hii ya kila mtu kusema cdm-wanakipa umaarufu bila kujua. Watakapogutuka-itakuwa wamechelewa, cdm itakuwa imeshakata mbuga.
 
CDM songa mbele,waache watapetape,hakuna muda wa kujibu hoja hafifu zisizokua na manufaa kwa nchi
 
kuna kipindi cheyo alikuwa kweli mpinzani sana...lakini siku hizi amekuwa ccm pure....kila kukicha anaongea upuuzi
 

Falsafa hiyo inamuogopesha kuondolewa kama wenzake Misri,Algeria na kwingineko kunakofuka moshi wa kuwaondoa wafalme.Cheyo,Mrema na Lipumba hawa ni wafalme katika vyama vyao ni marufuku mwanachama yeyote kugombea uenyekiti utazushiwa mabalaaa mpaka ukimbie chama kisa uenyekiti tu,wote ujumuisha na CCM wanaogopa sana Falsafa ya people power itaingimpaka kwenye vyama vyao kama ambavyo ilivyoanza kuingia CCM,wafalme wanaonyemelea cheo cha juu wameanza kuchapana maneno makali yakukiuwa CCM.Mtang'oka tu muda si mrefu.
 
Nashindwa kuelewa ni vipi mtu kama Cheyo inaweza kuwa kiongozi wa kitaifa wa chama cha kisiasa.
Hata ubunge, anaupataje? Huko Bariadi kukoje??
 
Wakuu it is a wastage of time and resources kuwajadili Mrema,Cheyo,Lipumba,Mbatia.
 
MWISHO WA SIKU MTAKUJA KUGUNDUA HATA HIVYO MNAVYODHANI VI VYAMA VINAVYOFAA HAVITUFAI = MAGALASA!
Kuchelewa kulioje!?
 
Analipa msaada wa ile nyumba ilyopigwa mnada DSM ILI KULIPIA DENI SUGU na baadaye akaokolewa na JK na kuunganishwa kwenye msafara wa USA akiwa na JK kwa muda wa wiki mbili na aliporudi ndio akawa kama tunavyomuona leo hii.....
 
hakuna sababu ya kujadili marehemu wa kisiasa wa aina ya cheyo,mrema na lipumba.
 
Vyama vinavyopigania haki ya Mtanzania vinajulikana. Cheyo yuko pale kwa maslahi tu, hana lolote. Tangu 2005 ameshafungua mashina au matawi mangapi huko Bariadi, achilia mbali mkoa mzima wa Shinyanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…