View attachment 97976POLE SANA. ninafikiri, mali zilizotakiwa kuorodheshwa kwenye mirathi ya mkeo zilitakiwa kuwa ni mali zake pekee na si mali ambazo mlimiliki pamoja au zile za kwako ambazo alikuwa nazo hazikutakiwa kuorodheshwa kwenye mirathi. sasa pole kwa yaliyotokea. unahitaji ushauri wa kisheria sio hapa kwenye mtandao tu bali tafuta mwanasheria kabisa akushauri na mjue namna gani mtafanya kama kuna remedy yeyote hapo unaweza kupata au ndo umepoteza. pia jipe moyo, songa mbele tafuta maisha mapya hilo la kufuatilia mirathi ambayo ilishagawanywa tayari liwe ni substitute tu. kwa wasomaji wengine na wewe pia, nakushauri soma kitabu hiki hapa chini, nimeweka cover lake.
View attachment 97976View attachment 97977