Mume ameficha Cheti cha ndoa nifanyeje?

hivi vyeti si hua vinatolewa viwili kila mtu anakua na copy yake!? mana mm na wife bomani tulipewa kila mtu chake
 
Watu huwa wanasahau kuwa sheria pia hubadilika sembuse mifumo....

Watu husahau kuwa watu wanapokutana Mahaba huwa trillion ila mkishakosana na kushindwa kuelewana na kushindwa kuchukuliana na kuvumiliana na kusameheana...... heri kuachana kwa amani na kutengeneza mifumo mingine ya kulea watoto kama walipatikana laah kusuluhisha watu wanaopigana au wenye violence ni kutafuta mauaji ya kimbari iwapo mmoja wa wana mahusiano hao hatajishusha kukubali yaishe na kuheshimiana.

Watu wengine wazazi wao tuu wanapokuwa watu wazima/ wazee na kuanza kuwa wakorofi hawawezi kuwavumilia sembuse kuvumilia kero na ukorofi wa mwenza ambae mlililutana na meno 32....!!?

Acha tuu tupendane ila mahusiano rasmi / ndoa sio kitu rahisi.

Bora kukokotoa hesabu ngumu kuliko kukokotoa malumbano na ndoano za ndoa, siko huko sina uzoefu nako ila kwa nnayoyaona, kuyasikia na kuyasoma... nyegeee zinakata kabisaaaa.

Ila utamu wa Dadii uko palepale....😋

Kasinde.
 
Back
Top Bottom