Kwan unataka ku attach n nan?Nilikuwa naomba cheti kipya cha kuzaliwa ila nilivyofika kwenye kuweka attachment naambiwa vinatakiwa signed attachments sasa sielewi hizo signed zipoje kwasababu hizi za kawaida nilizonazo zinakataa
Kwan unataka ku attach n nan?