mzee ushachungulia au ndo umeshikwa na pressure ya ulicho kionaulivyojaribu uliona nn mkuu ili nitakayoyaona nisipatwe na mshtuko wa moyo
M
mzee ushachungulia au ndo umeshikwa na pressure ya ulicho kiona
Chungulia kuna mtu au kivuli chake lakini utakiona at a glimpse of a second halafu utapata vague image yake...sio mimi lakini
Mimi nataka usiku wa leo ufanye majaribio mwenyewe muda kama ule wa jana usiku wa mananehaaaaa!,mambo mengine ni very interesting,sasa hicho kivuli au huyo mtu anafanya nn chini ya kitanda,na anakuwa ana madhara yepi kwa aliyelala kitandani?
Mimi nataka usiku wa leo ufanye majaribio mwenyewe muda kama ule wa jana usiku wa manane
Mzee ilifikia muda kitanda nikawa naona Kama kinaelea sasa maana nilifikiria hilo jambo kuwa chini huwa kunajamaa kageuza makazi yakehaaaaa!,mambo mengine ni very interesting,sasa hicho kivuli au huyo mtu anafanya nn chini ya kitanda,na anakuwa ana madhara yepi kwa aliyelala kitandani?
Mzee ilifikia muda kitanda nikawa naona Kama kinaelea sasa maana nilifikiria hilo jambo kuwa chini huwa kunajamaa kageuza makazi yake
Hahahaah eti no kolabo...Hakijafanyiwa kolabo hata chembe
Mshana mambo yako kibokoTakukumbusha alarm ikishindwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mpaka ufe kabisa kabisa tena ufe kikweli kweli