Mpaka ufe kabisa kabisa tena ufe kikweli kweli
Mwanangu na mada zako na usiku ushakua mnene,wengine tunakokaa huku balaa kila SAA unaskia minyato Mara nyau sasa nikichanganya na haya mambo yako inakuwa balaa
Kachungulie chumba cha pili chini ya kitanda bila kuwasha taa. Unyate kama paka!kisha uje uniambie umeona nini...it's very interesting utakachokiona...! Si wewe tu bali mwingine yeyote atakayeweza kufanya hivyo usiku huuMwanangu na mada zako na usiku ushakua mnene,wengine tunakokaa huku balaa kila SAA unaskia minyato Mara nyau sasa nikichanganya na haya mambo yako inakuwa balaa
Kachungulie chumba cha pili chinhii ya kitanda bila kuwasha taa. Unyate kama paka!kisha uje uniambie umeona nini...it's very interesting utakachokiona...! Si wewe tu bali mwingine yeyote atakayeweza kufanya hivyo usiku huu
[emoji23] sikwambii takuharibia uhondo
Chungulia kuna mtu au kivuli chake lakini utakiona at a glimpse of a second halafu utapata vague image yake...sio mimi lakinimkuu niambie tu,mi ni jasiri siogopi kitu,ina maana mkuu hata chini ya kitanda nacholala na mke wng mpendwa sana nisipowasha taa kuna mambo huwa yanaendelea chini ya kapeti???
Umeona sasa mambo yako,anyway i will try next time saivi nimeanza kujifunza meditation kidogoulivyojaribu uliona nn mkuu ili nitakayoyaona nisipatwe na mshtuko wa moyo
Mkuu umeambiwa chumba cha pili sasa kuji nasibu ujasili ndio vipi tena, harafu unalipuka na swali jingine? just go then lete mrejesho, usisahau kunyata tu. Tuna subiri ushuhuda wako.mkuu niambie tu,mi ni jasiri siogopi kitu,ina maana mkuu hata chini ya kitanda nacholala na mke wng mpendwa sana nisipowasha taa kuna mambo huwa yanaendelea chini ya kapeti???
Mzee mwenzangu!!??haya bwana ngoja ni qualify hii kwanza,au ndio zile zakuona jamaa wana mito machoni??Try darkness meditation in the empty room during the darkest hour of the night