IELTS means International English Language Testing System. It is a test of English language proficiency. ..kwa Tanzania sijaua unafanyikia wap..but kama ulishawahi kusikia TOEFL ambapo centre ipo chuo cha Mwl Nyerere - Kivukoni Dsm, ndo kitu hicho hicho. Ili kupata chet, unajiregester online, then unachagua kituo cha mtihan kulingana na nchi uliyopo, then yu pay kulingana na gharama zao..from what I think Ni amaount ambayo can be around (Tzs250,000 - 450,000).. i stand to be corrected apo kwenye amount. Kwa maelezo zaidi kama upo Dsm tembelea chuo cha Mwl Nyerere unaweza pata taarifa sahihi zaidi.. au Google!HABARI ZENU
katika pitpita zngu za kutafuta scholaship ughaibuni nimekua nikikutana na hii kit. maombi yaambatane na cheti cha ujuzi wa kiingereza cha IELTS
suali cheti cha IELTS kinapatikanaje?
natanguliza shukrani
shukran kwakoIELTS means International English Language Testing System. It is a test of English language proficiency. ..kwa Tanzania sijaua unafanyikia wap..but kama ulishawahi kusikia TOEFL ambapo centre ipo chuo cha Mwl Nyerere - Kivukoni Dsm, ndo kitu hicho hicho. Ili kupata chet, unajiregester online, then unachagua kituo cha mtihan kulingana na nchi uliyopo, then yu pay kulingana na gharama zao..from what I think Ni amaount ambayo can be around (Tzs250,000 - 450,000).. i stand to be corrected apo kwenye amount. Kwa maelezo zaidi kama upo Dsm tembelea chuo cha Mwl Nyerere unaweza pata taarifa sahihi zaidi.. au Google!
shukranNenda British Council mtaa wa samora British Council | Tanzania
thanksIELTS iinatolewa pale Britisha Council.. Ukienda pale watakupa maelekeo yote pamoja na ratiba za mtihani