Hbr waungwana!
Kuna bwana mdogo yupo hapo Tz, anatakiwa afuatilie cheti cha Form 4,amemaliza mwaka Jana, ananiambia sijui wanalipia Elfu ISHIRINI! Je wanalipia wapi ili kukipata?ni malipo halali ya kisheria yenye risiti za serikali au ?
Huwa havirudishwi nectar,mwaka 2017 nilikuwa na Kazi pale Minaki ss,mtaaluma alikuwa rafiki yangu kuna MTU alikuja kuchukua Cheri chake na alimaliza pale miaka ya mwishoni mwa themanini.Pili wakili Emmanuel Muga alifuata Cheri chake Lindi sekondari 2018 na alimaliza form six 1997