Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,103
- 7,825
Malipo yote lazima au apate EFD receipt au control numberHbr waungwana!
Kuna bwana mdogo yupo hapo Tz, anatakiwa afuatilie cheti cha Form 4,amemaliza mwaka Jana, ananiambia sijui wanalipia Elfu ISHIRINI! Je wanalipia wapi ili kukipata?ni malipo halali ya kisheria yenye risiti za serikali au ?
Malipo yeyote ya serikali hupitia control number ,kama hayana control number basi kuna utapeli.Hbr waungwana!
Kuna bwana mdogo yupo hapo Tz, anatakiwa afuatilie cheti cha Form 4,amemaliza mwaka Jana, ananiambia sijui wanalipia Elfu ISHIRINI! Je wanalipia wapi ili kukipata?ni malipo halali ya kisheria yenye risiti za serikali au ?
sihua wanakaba kwenye result slip!Nawakumbusha tu kua kuna sheria za shule na sheria za wizara (kama kijana wako anadaiwa na shule anatakiwa alipe deni apewe cheti mf wa deni ni hualibifu wa dawati,vitabu,hualibifu au upetevuji wa vifaa maabara,mchango wa mlinzi,wizi wa vifaa vya shule kama amebainika na ametakiwa kulipa,
OkMalipo yeyote ya serikali hupitia control number ,kama hayana control number basi kuna utapeli.
OkInawezekana mwambie akupe mawasiliano ya walimu wake
Maajabu kwakweliWizara ya Elimu ilishapiga marufuku shule kuzuia vyeti vya wanafunzi kwa kisingizio cha madeni. Sasa hiyo elfu 20 ya clearance ni sheria ya nchi gani kama sio njaa za walimu kutaka kujipatia ulaji tu?
KulipiaKulipa ??
Hakuna kitu kama ikoNawakumbusha tu kua kuna sheria za shule na sheria za wizara (kama kijana wako anadaiwa na shule anatakiwa alipe deni apewe cheti mf wa deni ni hualibifu wa dawati,vitabu,hualibifu au upetevuji wa vifaa maabara,mchango wa mlinzi,wizi wa vifaa vya shule kama amebainika na ametakiwa kulipa,
Unalipia kwa Control number auMnamjaza jamaa upepo kwakua ni cheti cha form four lakini hata vyuoni hua ukizidisha muda wa kukifuata unachajiwa.
Huyo dogo aeleze scenario nzima.
Cheri cha form na hata form six unachukulia shulemi kwako ulikosoma na hakuna malipo Labda kama aliacha deni shuleHbr waungwana!
Kuna bwana mdogo yupo hapo Tz, anatakiwa afuatilie cheti cha Form 4,amemaliza mwaka Jana, ananiambia sijui wanalipia Elfu ISHIRINI! Je wanalipia wapi ili kukipata?ni malipo halali ya kisheria yenye risiti za serikali au ?
Acheni kumjaza upepo huyu mtu.Wizara ya Elimu ilishapiga marufuku shule kuzuia vyeti vya wanafunzi kwa kisingizio cha madeni. Sasa hiyo elfu 20 ya clearance ni sheria ya nchi gani kama sio njaa za walimu kutaka kujipatia ulaji tu?