Chepuko lenye "Nguvu za kiume"

Sasa unaanza chepuka uzeeni? Muwe mnaonja Ladha zote ndio mnaowa,,Mi kila sampuli nilipitia na nikaamua kuoa mweusi kidogo na mahips,,,ofcoz tunaendana ,,Michepuko wote anawazidi,,,sisahau Familia mkuu,,
 
long live mchepuko! dah hajakwambia kuzama chunvini maana ukikutana na MTU msafii hutokaa kusahau! raha jipe mwenyewe, yule Jiran pale kwenye duka lake la nguo ndo anamkunjsga akija home hoi ndo sababu akunyime,sasa na were kula vyako
Ovyo kabisaa
 
Wanaume nyie mtachomwa moto si kwa uchepukaji huo.mke wako mwenyewe umemzeesha na ndo maana anakuwa busy kulea wanao.ohoooo mungu anakuona ujue.mwisho wa siku utakuja kujutia unayoyafanya.hakuna laana mbaya Kama ya mke na wazazi mkuuu.akili kumkichwa
 
Michepuko sijui ina nini, kwa wife unaweza piga mwisho tatu, ila kwa mchepuko sasa hadi 10 unaenda na bado machine inadai.
 
Sio siri sometime michepuko inatusaidia sana sis wananume! Yan mwanamke ukishamuoa tuu anajisahu kabisaaaaaaaaaa..... na kuzeeka ghafla! Yan kwa bed anaguna tuu, hata kugeuza kiuno tabu! Gusa mchepuko sasa, vita yake kama Prezda kaona jipu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…