Chepuko lenye "Nguvu za kiume"

Michepuko mitamu lakini inaletaga umasikini jihadhari na hilo.....na ujue pia yupo mwingine pia anaepiga kisela kama wewe unavyopiga kisela....so jihadhari na magonjwa pia,kupima peke yake haitoshi.....kila la kheri
Ukimchungza bata humli ndugu yangu
 
Unajua kuguswaa wewe ??? Acha wewe kunawatu wanautamu
 
long live mchepuko! dah hajakwambia kuzama chunvini maana ukikutana na MTU msafii hutokaa kusahau! raha jipe mwenyewe, yule Jiran pale kwenye duka lake la nguo ndo anamkunjsga akija home hoi ndo sababu akunyime,sasa na were kula vyako
 
Reactions: irk

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…