SACO
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 2,321
- 2,914
1. Bahati mbaya ukifumaniwa usije kukiri kosa.. Kataa hadi chozi litoke.
2. Haya ni baadhi ya majina unayoweza kuwasave michepuko.
Vodacom ofa
Tigojirushe
Instamoja
Sportpesa nk
Hizo sms hata akishika simu yako hawezi hangaika kuzisoma
Naomba tupeane mbinu zaidi..
Sent using Jamii Forums mobile app