Mkuu, Jibu lako sahihi kabisa.... Unasahauliwa na kuondolewa machoni usichafuwe hewa !!!Ukishateuliwa kuwa balozi ujue umefichwa na kinachosubiriwa Ni kifo cha kisiasa otherwise tuwasubiri watu wa promotion and demotion they will clarify about this.
Hivi ofisi ya balozi ina wafanyakazi wanaozidi hata kumi? Mkurugenzi mkuu anaongoza kurugenzi zenye wakurugenzi na chini yao mameneja na wasaidizi lukuki. Mkurugenzi mkuu yeye ndiye anayekusanya na kupanga namna ya kuzitumia kwa manufaa ya shirika au ya kwake; balozi atasubiri mafungu yatumwe yasipowahi ni sawa tuu na wafanyakazi wa reli ya Tanzania wanavyosubiria mshaharaNawauliza Ndugu zangu wana JF kuwa Balozi na kuwa Director General wa Shirika kama LAPF, kati ya hizo kipi ni cheo kikubwa?
Nawauliza Ndugu zangu wana JF kuwa Balozi na kuwa Director General wa Shirika kama LAPF, kati ya hizo kipi ni cheo kikubwa?
Ukitaka kujua Barozi na DG nani mkubwa waulize wale waliokuwa mabarozi tena Ulaya lakini walipoona ubarozi haulipi waliamua kurudi na kugombea ubunge potelea mbali hata kama watakosa uwaziri. Tanzania tuna mabarozi wengi sana, je ni wangapi unawajua. Kuna jenereli mmoja aliwahi kupewa ubarozi, tangu hapo sijawahi kumsikia tena na wala sijui kama anaendelea na ubarozi wake au ndo asharudi. Kifupi ukiwa barozi unakuwa total isolated.Hivi ofisi ya balozi ina wafanyakazi wanaozidi hata kumi? Mkurugenzi mkuu anaongoza kurugenzi zenye wakurugenzi na chini yao mameneja na wasaidizi lukuki. Mkurugenzi mkuu yeye ndiye anayekusanya na kupanga namna ya kuzitumia kwa manufaa ya shirika au ya kwake; balozi atasubiri mafungu yatumwe yasipowahi ni sawa tuu na wafanyakazi wa reli ya Tanzania wanavyosubiria mshahara
Ukitaka kujua Barozi na DG nani mkubwa waulize wale waliokuwa mabarozi tena Ulaya lakini walipoona ubarozi haulipi waliamua kurudi na kugombea ubunge potelea mbali hata kama watakosa uwaziri. Tanzania tuna mabarozi wengi sana, je ni wangapi unawajua. Kuna jenereli mmoja aliwahi kupewa ubarozi, tangu hapo sijawahi kumsikia tena na wala sijui kama anaendelea na ubarozi wake au ndo asharudi. Kifupi ukiwa barozi unakuwa total isolated.
Halafu mjue anaweza pelekwa hapo Zimbabwe tuHivi ofisi ya balozi ina wafanyakazi wanaozidi hata kumi? Mkurugenzi mkuu anaongoza kurugenzi zenye wakurugenzi na chini yao mameneja na wasaidizi lukuki. Mkurugenzi mkuu yeye ndiye anayekusanya na kupanga namna ya kuzitumia kwa manufaa ya shirika au ya kwake; balozi atasubiri mafungu yatumwe yasipowahi ni sawa tuu na wafanyakazi wa reli ya Tanzania wanavyosubiria mshahara
Nawauliza Ndugu zangu wana JF kuwa Balozi na kuwa Director General wa Shirika kama LAPF, kati ya hizo kipi ni cheo kikubwa?
Sasa Dau akistaafu atalipwa stahili za NSSF au za Serikali kuu?Hapana shaka kuwa DG wa shirika kubwa kama LAPF au NSSF ni cheo kikubwa kuliko balozi. Lakini ikiwa DG amestaafu au anakaribia na kupelekwa kuwa balozi hiyo haina shaka. Hata kwa wanajeshi ni hivyo hivyo Jenerali ni cheo kikubwa kuliko balozi. The former Chief of Staff, Lt. Gen. Shimbo alipelekwa kuwa balozi huko china kwa kuwa tayari alikuwa amestaafu jeshi, kwa hiyo hakuna shida.