Chenji yangu konda

Chenji yangu konda

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
Hakunaga kitu kinaniuma kama kumuachia konda chenji yangu hata ikiwa sh 50 na sijui kwanini yaani hata nikiwa nimetoka kupiga dili la milioni kumuachia konda da inaniuma sana yaani no bora niiche kwa mangi tu dukani !! Hivi hii situation ni kwangu tu au hata na wewe mwana jf mwenzangu ..kwanini tunadai sana chenji zetu ni bora ukaitupe kuliko kumuachia konda !!! Tatizo ni nini haswa !!
Karibuni
 
Naachaga sana Mia mia mbili kama hana chenji namwachia...
Wala roho haiumi
 
dili la milioni unapanda daladala? au za zimbabwe?
 
Milioni unaona pesa we kweli cha ukucha !! Ushazoe dili zako za buku jero unaenda kwa pusha kupata mambo yako !! Ukipewa million utaomba escort ya jwtz wewe
 
Mi nagawana nao pasu, nikipanda asiniulize nauli nakausha.

Na hii ilitokea baada ya kusahau chenji ya Shs 10,000 kwenye dala dala ya Mwananyamala - Kivukoni mwaka 2007 mpaka leo inaniuma na sina uhakika kama nilisha irudisha. Lakini najua itarudi tu.
 
Tafuta noti feki mpwa zinarudi

Ukizungusha basi Tatu kwa noti za 10"000 unapata halali 9000 *3 -sawa na 27"000

Panda sheki shuka mapambano....akirudisha weka mfuko wa kushoto

Panda lingine elekea mtogole ukipewa chenji weka mfuko wa nyuma

Hii ya Tatu panda kwa mtogole shuka ubungo atakaporudisha chenji hapohapo shuka kinachofwata

Piga 27"000 Mara 30 ujanunua ile bar ya ngirawanecha kama akili nyingi za kichaga
 
Ha ha ha! Hapa ni akili ya kuambiwa changanya na za Mbayuwayu.
 
ukweli inauma sana kumuachia chench Konda hasa ukizingatia kwamba huwa wanaaibishaga sana kwa wale ambao wanapungukiwa.
 
mi wale wa uda sina uchungu nao maana wengi wao uda napanda bure nikisimama nikapata nafasi ya kukaa naangalia bus no na tkt nilizonazo kwenye shati
 
Mi nagawana nao pasu, nikipanda asiniulize nauli nakausha.

Na hii ilitokea baada ya kusahau chenji ya Shs 10,000 kwenye dala dala ya Mwananyamala - Kivukoni mwaka 2007 mpaka leo inaniuma na sina uhakika kama nilisha irudisha. Lakini najua itarudi tu.
Duh!,kwa hiyo mkuu kila unapofanikiwa kukausha huwa unaweka rekodi!,nimeipenda,ila ukweli huwa inauma!
 
Naachaga sana Mia mia mbili kama hana chenji namwachia...
Wala roho haiumi

Ngoja siku huyo huyo konda uwe umepungukiwa labda na Tshs. 50, na hujui unakuja kushtuka pale unapotakiwa kutoa nauli... UTAONA ATAKAVYOKUJAZIA WATU... Na bahati mbaya muwe mmekwaruzana kabla... HAPO UTAONA ROHO ITAKAVYOKUUMA JINSI UNAVYOMWACHIAGA CHENJI
 
Back
Top Bottom