Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 462
Wengi wenu mmeonekana kutomiliki magari tofauti na siku nyingine ambazo huonekana kila mtu anamiliki gari humu JF.
mi wale wa uda sina uchungu nao maana wengi wao uda napanda bure nikisimama nikapata nafasi ya kukaa naangalia bus no na tkt nilizonazo kwenye shati
kwani kupanda daladala ni lazima?
Njia rahisi: Ukimuona konda ameshika noti nyingi za 10,000/= unapofika kituoni kwako mwambie akurudishie chenchi yako unashuka hapo tena uwe mkali kweli, ikiwezekana tafuta shahidi wa uwongo akusaidie. Kama anabisha mwambie mwende polisi.Mi nagawana nao pasu, nikipanda asiniulize nauli nakausha.
Na hii ilitokea baada ya kusahau chenji ya Shs 10,000 kwenye dala dala ya Mwananyamala - Kivukoni mwaka 2007 mpaka leo inaniuma na sina uhakika kama nilisha irudisha. Lakini najua itarudi tu.
Njia rahisi: Ukimuona konda ameshika noti nyingi za 10,000/= unapofika kituoni kwako mwambie akurudishie chenchi yako unashuka hapo tena uwe mkali kweli, ikiwezekana tafuta shahidi wa uwongo akusaidie. Kama anabisha mwambie mwende polisi.