Cheni ya kunogesha Penzi

ukiipata hiyo cheni itabidi kuipima ubora kaba ya mechi
 
Ukishapata shosti unishtue nikupe maujuzi.......
 
Vivy umepata au bado? Matumizi wayajua weye? Ukishindwa ni PM
 
Samahani dada naomba kukuuliza swali....Hivi mwanaume akiivaa hiyo cheni atavutia wanawake?<br />
Swali tu,usifikirie sana!
<br />
<br />
hahahaha! Nimeshindwa kujibu maana umeniambia nisifikirie sana.
 
Mie nilijua labda cheni ya kisharobaro ya shingoni kumbe ya kiunoni mmmmhhhh mie siwawezi!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…