Mzee wa madili - Mzee wa mipango - Tuhuma zake ni nyingi tu!!
Rada akaramba akaruka viunzi,
Ndege ya Rais akabugia akaruka viunzi
EPA katia ndani akaruka viunzi
ESCROW kasonda!! sasa hapa hatuna uhakika kama ataruka viunzi kama kawaida yake; kama amejiita Tumbiri hilo ni sahihi kabisa maana tumbili anaweza kuruka toka mti mmoja kwenda mwingine - bila kuhitaji daraja wala kivuko - mnyama huyo ni noma!!
Mzee ni noma!! huna mpinzani inji hii.